Kwa ufupi:
Kitabu hiki ni kwa ajili ya wahudumu wa afya. “Mtindo wa Maisha na Magonjwa
Yasiyo ya Kuambukiza” ni kitabu kingine chenye mafunzo haya haya pasipo tiba,
kwa ajili ya wanajamii kujisomea wenyewe. Watoa elimu ya afya kwa uma
watarahisisha kazi yao wakiwaelekeza wataja wao kujisomea kitabu hicho. Kila mtu
akicheza nafasi yake vizuri na kutumia miongozo iliyomo huku, tutafunga goli na
kuyalaza magonjwa yasiyo ya kuambukiza.