xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple
dc.contributor.author | Missano, H. | |
dc.contributor.author | Temalilwa, C. R. | |
dc.contributor.author | Maganga, S. | |
dc.date.accessioned | 2022-04-20T11:15:18Z | |
dc.date.available | 2022-04-20T11:15:18Z | |
dc.date.issued | 1994-04-14 | |
dc.identifier.isbn | 9976 910 29 0 | |
dc.identifier.uri | http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/641 | |
dc.description.abstract | Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya lishe kwa wananchi. Vile vile uandishi wa kijitabu hiki umelenga kutoa fursa kwa jamii iweze kuelewa na kutafakari matatizo yake ya kiafya na kilishe hasa ya upun gufu wa vitamini A. Maudhui yaliyotumika ni rahisi na yanayoeleweka. Hivyo ni matarajio ya Wizara ya Afya kuwa maandiko haya iwapo yatasomwa na kutekelezwa yatachangia kuinua afya na lishe ya jamii. | en_US |
dc.language.iso | other | en_US |
dc.publisher | Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Shirika la Chakula na Lishe Tanzania | en_US |
dc.subject | Vitamini A. | en_US |
dc.subject | Upatikanaji wa vitamini A. | en_US |
dc.subject | Upungufu wa vitamini A. | en_US |
dc.subject | Wajibu wa jamii | en_US |
dc.subject | Wajibu wa familia | en_US |
dc.title | Zuia upungufu wa vitamini A | en_US |
dc.title.alternative | Kijitabu kwa Jamii | en_US |
dc.title.alternative | Kijitabu kwa Jamii | en_US |
dc.type | Book | en_US |