Ghala la Mkulima

Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa Tanzania

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Heifer International Tanzania
dc.date.accessioned 2018-02-23T10:11:28Z
dc.date.available 2018-02-23T10:11:28Z
dc.date.issued 2010
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/107
dc.description.abstract Mwongozo huu una mada zinazoelekeza ufugaji ulio bora wa kuku wa Asili ikiwemo jinsi ya kutambua ubora wa kuku wanaostahili kufugwa, mifumo mbalimbali itakayoweza kutumika na mapungufu yaliyomo katika ufugaji na jinsi ya kuyatatua. Vilevile mwongozo huu unaelezea juu ya utagaji na utunzaji wa mayai, uatamiaji na uanguaji wa vifaranga na njia za kulea vifaranga ili kuzuia vifo katika hatua za awali. Pia mwongozo unaelezea lishe kwa kuku wa Asili, mbinu za kuzalisha kuku wengi kwa muda mfupi ili kuweza kupata faida katika ufugaji, magonjwa muhimu ya kuku wa asili na jinsi ya kuyakinga na uwekaji wa kumbukumbu za ufugaji. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Heifer International Tanzania en_US
dc.subject Kabila za kuku wa asili en_US
dc.subject Mifumo ya ufugaji kuku wa asili en_US
dc.subject kuku wa asili en_US
dc.subject Tiba za asili en_US
dc.title Mwongozo wa ufugaji kuku wa asili kwa wakulima wa Tanzania en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu