Ghala la Mkulima

Lishe na ulaji unaofaa kwa watu wenye magonjwa sugu yasio ya kuambukizwa: Mafunzo kwa watoa huduma za afya: Kitabu cha rejea kwa mshiriki

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2019-02-06T08:44:12Z
dc.date.available 2019-02-06T08:44:12Z
dc.date.issued 2012
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/handle/123/392
dc.description.abstract Magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza yanayohusiana na mtindo wa maisha yamekuwa yakiongezeka kwa kasi katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania. Awali, magonjwa haya yalikuwa yakiwaathiri watu wenye rika mbalimbali hasa wenye umri mkubwa (> miaka 45) lakini kwa sasa magonjwa haya yanazidi kuathiri watu wenye umri mdogo wakiwemo watoto. Magonjwa sugu yasiyo ya kuambukiza huwa yanachukua muda mrefu kujitokeza. Magonjwa sugu makuu matano yasiyo ya kuambukiza – kisukari, shinikizo kubwa la damu, magonjwa ya moyo, saratani, magonjwa sugu yasiso ya kuambukizwa yanajitokeza kwa wingi kwenye nchi zenye uchumi mdogo na wa kati. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kituo cha Ushauri Nasaha, Lishe na Afya - COUNSENUTH en_US
dc.subject Lishe en_US
dc.subject Magonjwa sugu en_US
dc.subject Magonjwa yasioambukiza en_US
dc.subject Kisukari en_US
dc.title Lishe na ulaji unaofaa kwa watu wenye magonjwa sugu yasio ya kuambukizwa: Mafunzo kwa watoa huduma za afya: Kitabu cha rejea kwa mshiriki en_US
dc.type Book en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu