Kwa ufupi:
Stafeli na topetope ni matunda yenye faida lukuki kwa afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni faida muhimu za mti wa Mstafeli. Juisi yake hutibu kansa kwa haraka na kwa ufanisi zaidi. Ina nguvu mara elfu kumi (10,000) zaidi ya tiba ya mionzi katika kuzuia seli za kansa.
Hutumika kutibu maumivu ya nyuma ya mgongo ( low back pain ) Majani ya mti wamstafeli hutumika kutibu maumivu ya mishipa. Yasage majani yake mpaka yalainike kabisa, kasha paka taratibu eneo la mishipa lililo na maumivu mara mbili kwa siku. Mstafeli hutumika kutibu maumivu ya jongo/gout hurekebisha usawa wa kiasi cha damu na sukari mwilini.
Huongeza kinga ya mwilini hudhibiti ukuaji wa bacteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe.Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti hiyo miwili.Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees.