Ghala la Mkulima

Kilimo cha matopetope na mastafeli

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.date.accessioned 2023-02-28T11:47:22Z
dc.date.available 2023-02-28T11:47:22Z
dc.date.issued 2022
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123/679
dc.description.abstract Stafeli na topetope ni matunda yenye faida lukuki kwa afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni faida muhimu za mti wa Mstafeli. Juisi yake hutibu kansa kwa haraka na kwa ufanisi zaidi. Ina nguvu mara elfu kumi (10,000) zaidi ya tiba ya mionzi katika kuzuia seli za kansa. Hutumika kutibu maumivu ya nyuma ya mgongo ( low back pain ) Majani ya mti wamstafeli hutumika kutibu maumivu ya mishipa. Yasage majani yake mpaka yalainike kabisa, kasha paka taratibu eneo la mishipa lililo na maumivu mara mbili kwa siku. Mstafeli hutumika kutibu maumivu ya jongo/gout hurekebisha usawa wa kiasi cha damu na sukari mwilini. Huongeza kinga ya mwilini hudhibiti ukuaji wa bacteria, virusi, vijidudu nyemelezi na uvimbe.Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti hiyo miwili.Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Chuo kikuu cha sokoine cha kilimo en_US
dc.subject Kilimo en_US
dc.subject Mistafeli en_US
dc.subject Mitopetope en_US
dc.title Kilimo cha matopetope na mastafeli en_US
dc.title.alternative Ifahamu miti ya mitopetope na mistafeli en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu