Ghala la Mkulima

Viazi lishe kwa uboreshaji wa afya

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Mtunda, K
dc.date.accessioned 2020-12-07T09:50:23Z
dc.date.available 2020-12-07T09:50:23Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/535
dc.description.abstract Viazi Vitamu ni zao muhimu nchini Tanzania na linashika nafasi ya pili likitanguliwa na zao la mihogo katika mazao ya mizizi. Viazi vitamu vinalimwa maeneo mengi ya Tanzania na kati ya wazalishaji wakubwa ni kanda ya kati ikiwemo Mikoa ya Dodoma na Singida. Kwa asili wakulima wamezoea kulima viazi vitamu vyenye rangi nyeupe au ya maziwa kwa ndani. Hata hivyo kuna vyenye rangi ya karoti kwa ndani ambavyo vina vitamini A kwa wingi. Kutokana na kuwa na Vitamini A kwa wingi vinaitwa viazi lishe en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Kituo cha Utafiti wa Miwa Kibaha en_US
dc.subject Viazi lishe en_US
dc.subject Uboreshaji afya en_US
dc.subject Viazi vitamu en_US
dc.title Viazi lishe kwa uboreshaji wa afya en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu