Ghala la Mkulima

JIFUNZE UFUGAJI WA MENDE

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author Iman, Rubaba
dc.date.accessioned 2021-05-05T08:24:55Z
dc.date.available 2021-05-05T08:24:55Z
dc.date.issued 2020-04-11
dc.identifier.citation https://tanzanianakilimo.blogspot.com/2020/04/jifunze-ufugaji-wa-mende.html&https://www.facebook.com/jalicoltd/posts en_US
dc.identifier.other BIASHAA ,Elimu
dc.identifier.other BIASHAA ,Elimu
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/541
dc.description Kilimo cha mende en_US
dc.description.abstract Ufugaji wa mende ni ufugaji unaokua kwa kasi sana hapa nchini, hii ni kutokana na faida zinazoaminika kupatikana kwa mende.Hivyo kwa namna hii kasi ya ufugaji inaongezeka, kunauwezekano mkubwa sana kwa wafugaji wengi kuingia katika ufugaji huo ha hivyo kuongezeka kwa ushindani.Ufugaji wa mende hauna masharti mengi sana na pia hua na gharama ndogo katika kufuga licha ya kuaminika kua na faida. Kuna Aina zaidi ya 400 za mende duniani na katika hizo aina 30 pekee ndio zinapatikana katika makazi ya watu, lakini katika hizo aina 4 ndio ambazo ni sumbufu majumbani. Ila mende ambao wamefanyiwa utafiti kwaajiri ya chakula cha kuku, binadamu na hata kutengeneza dawa za urembo ni mende wa Asia ambao wamechanganywa katika aina 3 ili kuweza kupata aina moja bora zaidi (breeding) na aina hizi ni mende wa Asia, Ujerumani na Marekani na kwa kitaalamu mende huyu huitwa diloptera punctuate. en_US
dc.description.sponsorship Tanzania na Kilimo en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher Jalico ltd / Tanzania kilimo blog en_US
dc.relation.ispartofseries ;;Article
dc.subject Mende en_US
dc.title JIFUNZE UFUGAJI WA MENDE en_US
dc.title.alternative UFUGAJI WA MENDE en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu