Ghala la Mkulima

Fahamu kuhusu kilimo cha pilipili mbuzi

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

dc.contributor.author WIZARA YA KILIMO
dc.date.accessioned 2022-01-25T11:02:49Z
dc.date.available 2022-01-25T11:02:49Z
dc.date.issued 2018
dc.identifier.citation http://kilimohaitz.blogspot.com/2018/09/fahamu-kuhusu-kilimo-hai-cha-pilipili.html en_US
dc.identifier.uri http://10.10.11.5/xmlui/handle/123456789/568
dc.description.abstract Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye mbolea ya asili, undongo wenye unyevu nyevu ila usiwe wenye kutuamisha maji. Pilipili mbuzi huitaji udongo wenye pH 6.0 hadi 6.8, Ikiwa PH ni chini ya 6.0 ongezea madini chokaa kwenye udongo; Na ikiwa pH ya udongo imefka 8 onana na wataalam wa kilimo wakusahuri namna ya kuipunguza. en_US
dc.language.iso other en_US
dc.publisher WIZARA YA KILIMO en_US
dc.relation.ispartofseries TOLEO LA KWANZA;
dc.subject Kilimo, Pilipili mbuzi, Miche en_US
dc.title Fahamu kuhusu kilimo cha pilipili mbuzi en_US
dc.type Article en_US


Files in this item

kinaonekana kwenye vifungu vifuatavyo

xmlui.ArtifactBrowser.ItemViewer.show_simple

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account

Takwimu