Chakula na Lishe: Recent submissions

  • Kimboka, Dr. Sabas (Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-08-13)
    Upungufu waa madini ya joto mwilini ni tatizo kubwa la kiafya hapa Tanzania. Idadi ya watu wanaoathirika inakadiriwa kuwa milioni 5.6 au asilimia 25 ya watu wote. Madini ya joto hupatikana ardhini na huchukuliwa na aina ...
  • Mwandishi Hajulikani (Wizara ya elimu, 2000-03-12)
    Kitabu boo kimetayarishwa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa viongozi wanaohusika na utekelezaji wa mipango ya huduma za chakula cha mchana katika shule za msingi. Watakaoshirikishwa katika mafunzo hayo kwenye ngazi mbalimbali ...
  • Missano, H.; Temalilwa, C. R.; Maganga, S. (Idara ya Elimu na Mafunzo ya Lishe Shirika la Chakula na Lishe Tanzania, 1994-04-14)
    Kijitabu hiki ni kimojawapo kati ya vijitabu vyenye lengo la kuelimisha jamii juu ya masuala mbali mbali ya lishe. Wazo la kuandika kijitabu hiki limetokana na ukweli kwamba hakuna maandiko ya kutosha yanayohusu elimu ya ...
  • Slabbet, Karien (daily industry in Africa, 2007-01-12)
    very minute of every day, some where in the world 21 children die of Malnutrition and preventable diseases it is a given party that sustainable school milk programs can help alleviate hunger, while at the same time building ...
  • School Canteen, S. (Department of food, 2010-01-13)
    Siku ya shule inakua na mabo mengi ya kimasomo na michezo.Chakula ni mafuta ya miili yetu na chakula bora kinawapa watoto nguvu na virutubisho vinavyotakiwa mwilini.
  • Wizara ya kilimo Tanzania, wizara ya kilimo Tanzania (Wizara ya kilimo, 2003)
    Faida ya mafuta yatokanayo na mazao ya mbegu
  • Tanzania diabetes Association, T (World Diabetes Foundation, 2014-04-29)
    Kitabu hiki ni kwa ajili ya wahudumu wa afya. “Mtindo wa Maisha na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza” ni kitabu kingine chenye mafunzo haya haya pasipo tiba, kwa ajili ya wanajamii kujisomea wenyewe. Watoa elimu ya afya kwa ...
  • Muhas, U. (MUHAS, 2008-11-29)
    Tanzania, like other developing countries in sub-Saharan Africa, is faced with challenges of both under- and overnutrition. Undernutrition comprises of a number of nutritionally related conditions such as protein-energy ...
  • Unicef (Unicef, 2020-03-23)
    Baada ya miezi 6 watoto wanahitaji aina nyingine ya vyakula pamoja na maziwa ya mama ili kuwafanya kuendelea kukua vyema. Aina mbali mbali za vyakula vitamsaidia mtoto wako katika njia mbali mbali. Wape watoto wako ...
  • Mwandishi Hajulikani (Masha, 2016-12-25)
    Komamanga ni tunda lenye asili ya India na Persia kwa jina la kisayansi ni Punica Granatum, lakini lililetwa Marekani na wawekezaji wa Kihispania na kwa sasa limejulikana dunia nzima.
  • WIZARA YA KILIMO (WIZARA YA KILIMO, 2018)
    Pilipili mbuzi ni zao ambalo linaweza kulimwa kibiashara na kumpatia faida nzuri mkulima. Zao hili huitaji mwanga wa kutosha wa jua angalau kiasi cha masaa 6 kwa siku. Pilipili hustawi vizuri zaidi kwenye udongo wenye ...
  • WIZARA YA KILIMO (CABI, 2018)
    Mwongozo huu unatoa maelezo juu ya teknolojia za kufuata ili kuwezesha wakulima kufanya maamuzi kabla ya kuzalisha viazi mviringo,hasa katika matumizi ya mbegu bora, mbolea, viuatilifu na mbinu bora za usimamizi wa kilimo ...
  • Christopher, C. (Elimu ya ujasiriamali, 2019-07-23)
    Unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. Mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji.
  • Christopher, C. (2017-09-29)
    Uchunguzi mpya umeonyesha kwamba, katika tunda la komamanga kuna kemikali zinazozuia kansa ya matiti isitambae mwilini
  • Mwandishi Hajulikani (Jamana Printers Ltd., 2019-01)
    Utangulizi wa sura hii umeandaliwa kutoa masuala ya msingi kuhusu lishe katika mzunguko wa maisha kuanzia utoto mpaka utu uzima. Vilevile masuala ya lishe ya wanawake wajawazito, wanaonyonyesha na watoto, ikijumuisha ...
  • Mitiki, MiTiki blog. (2017-02-07)
    Chakula bora kwa Nguruwe ni moja ya suala muhimu sana kwenye dhana nzima ya ufugaji wa Nguruwe wenye tija na faida kwa mfugaji. Chakula cha Nguruwe kinagharimu kama asilimia sabini ya garama zote za ufugaji wa nguruwe. ...
  • Iman, Rubaba (Jalico ltd / Tanzania kilimo blog, 2020-04-11)
    Ufugaji wa mende ni ufugaji unaokua kwa kasi sana hapa nchini, hii ni kutokana na faida zinazoaminika kupatikana kwa mende.Hivyo kwa namna hii kasi ya ufugaji inaongezeka, kunauwezekano mkubwa sana kwa wafugaji wengi kuingia ...
  • Mbinga, Christopha (http://christophambinda.blogspot.com/2018/02/kilimo-cha-mchaichai.html, 2018-02-13)
    Mchai chai ni mmea ambao unatambulika hapa nchini pamoja na Afrika kwa ujumla wake, lakini hapa nchini wengi huutambua mmea huu kama kiungo katika chai na husaidia kinywaji hicho kuwa na harufu nzuri. http://ift.tt/2BSxPKw Tafiti ...
  • Mtunda, K (Kituo cha Utafiti wa Miwa Kibaha, 2018)
    Viazi Vitamu ni zao muhimu nchini Tanzania na linashika nafasi ya pili likitanguliwa na zao la mihogo katika mazao ya mizizi. Viazi vitamu vinalimwa maeneo mengi ya Tanzania na kati ya wazalishaji wakubwa ni kanda ya kati ...
  • Magembe, A (Ukulima wa kisasa, 1990-07)
    Maboga ni zao la chakula ambalo hulimwa katika sehemu nyingi nchini Tanzania, lakini kwa kiasi kidogo kidogo sana, aghalabu hua linapandwa katika mashamba ya mahindi

Tafuta kwenye mkulima


Peruzi

My Account